Matambiko na Sherehe

Afrika, kama ilivyo mahali pengine duniani, matambiko na sherehe hufanywa ili kukumbuka matukio muhimu katika maisha ya watu. Mara nyingi, huwa ni ya kipekee, yenye mwonekano wa kibunifu na uliobeba historia kubwa.

Katika chumba hiki, watu kutoka Kongo, Rwanda na Burundi huonesha kwa pamoja uzoefu wao katika masuala ya uzazi, elimu, ndoa, uongozi, vifo na kumbukumbu mbalimbali.

Vitu vilivyo katika makumbusho haya, huonesha namna walivyoadhimisha zamani na namna wanavyoadhimisha kwa sasa.

< World Kiswahili Day